EWURA inatoa AGIZO kwa vituo vyote vya mafuta kuhakikisha vinakuwa na mafuta ya kukidhi mahitaji ya maeneo yao ya biashara kulingana na umiliki wa soko wa kituo husika.
Soma zaidi :- Agizo kwa Vituo vya Mafuta
Views: 534

Mbona sisi kwetu vituo vya mafuta hawauzi mafuta,wanadai mafuta hamna
Kaliua_tabora
Habari
Nashauri agizo la vituo kukosa mafuta lifuatiliwe. MKOA wa Rukwa -Sumbawanga mjini ukienda viyuo vya mafuta wanasema hawana mafuta. Nimekwenda vituo vinne Leo wanasema hawana mafuta.