Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.
Soma zaidi :- Maombi ya Leseni
Hits: 386
maombi lessen
Maombi hufanyika kupitia mfumo wa kieletroniki unaitwa LOIS.Tafadhali ingia katika website yetu na kubofya LOIS, kujisajili na kuendelea kufanya maombi. Unaweza pia kutumia kiunganishi hiki—https://lois.ewura.go.tz/ewura/
Naomba kupeperushia cha kituo cha mafuta kijijini
Naomba kipeperushicha kituo cha mafuta kijijini
Vigezo gani vinatakiwa ili mtu kuanzisha biashara ya kituo cha mafuta?
Naomba maelezo ya kufungua au kuanzisha kituo cha kuuzia mafuta kijijini.