EWURA Yakusudia kufuta Leseni ya Kampuni ya Multimodal Petroleum Africa Limited

Kusudio hili linatokana na Kampuni hiyo kushindwa kufanya biashara ya mafauta kwa jumla (kutoagiza bidhaa za mafuta) kwa kipindi cha zaidi ya miezi sita (6), kinyume na masharti ya leseni na kanuni ya 16(3) ya Kanuni za Petroli (Jumla, Hifadhi, Rejareja na Miundombinu ya Kuhifadhia Mafuta kwa matumizi Binafsi), Toleo Na. 380 la Gazeti la Serikali la Mwaka 2018.

Soma Zaidi:-Kusudio la Kufuta Leseni

Visits: 183

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *