Ndugu Hilary,
Maombi ya leseni hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa LOIS. Bofya kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ kujisajili kisha endelea kujaza fomu. Unatakuwa kuwa na picha yenye kivuli cha bluu, kitambulisho (kura, leseni ya udereva, nida), cheti cha ufundi na wasifu wako (CV) katika nakala laini (soft copy). viambatisho hivi utaviambatisha katika maombi yako ya leseni.
Endapo utapata changamoto yoyote, tafadhali piga simu BURE 0800110030 siku na muda wa kazi. Au tembelea ofisi zetu katika mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Arusha,Mwanza na Mbeya.
Karibu
nahitaji leseni ya ewura mimi fundi umeme