Employment Opportunities : Finance Manager and Human Resources Officer, December 2020

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff and quality of service regulation of electricity, water, petroleum and Natural gas sectors. EWURA has the following vacancies for which suitably qualified Tanzanians are invited to apply.

Read More :- Finance Manager and Human Resources Officer

Visits: 2266

13 thoughts on “Employment Opportunities : Finance Manager and Human Resources Officer, December 2020

 1. Sasa mbona kazi zingine hamjatoa majibu ususani mliotangaza kabla ya hii,,,,naomba ufafanuzi na kama mmeshaajili watu tayari pia naomba pia ufafanuzi maana sasa ni zaidi ya miez miwili inaelekea mitatu

   1. Kwa hiyo kwa maelezo yako ni kwamba kazi mlizotangaza november 2020 mlishafanyisha usaili kwa wale waombaji waliofanikiwa?

   2. Kwa hiyo majibu ya petroleum inspector ya mwaka jana mwezi wa 9 mshayatoa kumbe?. Mie ningewaomba afadhari mngekua mnafanya kama TBS, watu walio kizi vigezo vya kuitwa katika interview nadhani mngekua mnaweka majina yao katika website yenu ambapo inakua rahisi hata mtu kujua kwamba umepata au umekosa. Sasa mnavyofanya hivi kutoa taarifa kimya kimya, mtu unakua huelewi kama umepata au umekosa, kama mie nlikua majibu bado hamjatoa.

    Na pia katika kuajiri huwa mnaangalia vigezo gani, mana nimeomba mara mbili na vigezo vyote vya kuajiriwa nadhani nimevikidhi.
    Tafadhari mtufikirie na sisi, sababu mie nimemaliza chuo (UDSM) mwaka 2019, lakini hadi leo sijapata sehemu yoyote ya kufanyia kazi hata intern au kuvolunteer nimekosa. Kila sehemu ukiomba wanasema hawaajiri lakini cha ajabu unakuta mtu mwingine kaajiriwa hapo hapo.
    Asanteni.

 2. Habari, Nina mwanangu kasomea mambo ya Mafuta na gase, ana degree ya Mambo hayo kasomea India, naomba nafasi ya KAZI kwaajili yake, kamaliza 2019, na aliwasilisha vyeti vyake pale TAESA, Chinese naomba wahusika mnisaidie, huyu moto kajitahidi Sana kusomea kwa bididii na ni yatima, naomba mnisaidie ajira kwaajili yake.

 3. Mimi naomba kujua maombi ya hizi nafasi za January 07,2021 tunatuma kupitia website au posta naona kama haiko clear naomba majibu

 4. Kwa nini watu wakiomba kazi wanakuwa hawaelewi kinachoendelea. Ni kwa nini msiyaweke majina ya watu mnaowaita kwenye interview katika website ili mtu awe anaelewa kwamba ameitwa au hajaitwa kama wanavyofanya taasisi kama TBS. Au ni kwa nini ajira zisitangazwe kwenye secretariet ya ajira KAMA ILIVYO KWA TAASISI NYINGINE. Kwa ilivyo hivi sas a kuna maswali mengi sana kwa Mamlaka.

 5. Habari.. Naomba kuuliza kama ile nafasi ya Human Resource officer imeshajazwa.? Na kama imeshajazwa, hamuhitajii mtu mwengine.?

 6. Hello! Tafadhali naomba utaratibu wa kuhamia ewura kutoka taasisi zingine za central goernment

  1. Ndugu Judith,
   Utaratibu wa kuhamia EWURA ni kuomba kazi zinazotangazwa kwa kada yako ili uweze kushiriki katika usaili endapo utafaulu vigezo vilivyoanishwa.
   Karibu

   1. Unamanisha kuwa barua ya kuomba nafasi za kazi EWURA lazima ipitie kwa mwajiri iwapo umeajiriwa kwenye central government?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *