Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 6 Januari 2021.
Soma Zaidi :- Bei Kikomo ya Mafuta ya Petroli Kuanzia 06 Januari 2021
Hits: 4131
Naomba bei
Ahante kwa mrejesho huo wa bei za mafuta,lakini hii itapelekea bidhaa mbali mbali kupanda bei ,ni vema mngepunguza bei za mafuta na kupandisha bidha moja moja