TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta Kuanzia Jumatano 03 Februari 2021

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Visits: 2128

2 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta Kuanzia Jumatano 03 Februari 2021

  1. Godbeless p.nnyary wa arusha meru napenda kujiunga kwenye nafasi yoyote kikazi kwenye mradi mkuu bomba la mafuta tanga elim lasaba umri 43 urefu5.7 ft ujuzi ulinzi na viwandani kitambulisho cha taifa 19770205232250000229. Sim0763500650

    1. Ndugu Godbless,
      Utaratibu wa kujiunga kutoa huduma katika miradi ya mafuta na gesi nchini ni Kampuni mbalimbali kufanya usajili katika kanzidata ili waweze kutoa huduma hizo. Hata hivyo, kwa mtu binafsi kama wewe, unaweza kuomba kazi kwenye kampuni hizo. Orodha ya kampuni zilizosajiliwa katika kanzidata inayopatikana katika tovuti yetu kupitia kiunganishi https://www.ewura.go.tz/local-content-lssp-database/
      Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *