TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, EWURA inatoa taarifa  kwa umma kwamba, impokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni-Mafuta-Petroli

Visits: 520

One thought on “TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *