TAARIFA KWA UMMA : Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo TSN Oil (T) Ltd – Masasi Service Station

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo la TSN Oil (T) ltd – Masasi Service Station jina linalopendekezwa Christopher Paul Swart.

Soma zaidi :- Ombi la kubadili umiliki wa leseni

Visits: 187

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *