The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of the electricity, water, petroleum and Natural gas sectors. EWURA has the following vacancies for which suitably qualified Tanzanian are invited to apply.
Read more:- Employment Opportunity
Hits: 1594
Habar
Naitwa Joseph Macha nauliza kama kwenye taasisi yenu mnatoa nafas kwa ajili ya fresh graduate kukifunza na kupata uzoefu zaid
Ndugu Joseph,
EWURA hutoa tu nafasi kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ili kufanya mafunzo ya vitendo. Hata hivyo, unaweza kuandika barua kwa Mkurugenzi Mkuu ukielezea suala lako; endapo nafasi itapatikana utajulishwa.
Karibu
Habari
naitwa Innocent Augustine nilikuwa nauliza na kwa sisi ambao ni fresh from school or fresh graduate lakini tunaendelea na masomo ya professional like CPA (T) tunaweza kupata nafasi hili kufanya mafunzo kwa vitendo.
Asante
Habari Innocent
Tafadhali andika barua kwa Mkurugenzi Mkuu, endapo nafasi itapatikana utajulishwa.
Karibu
Naitwa sweya musa samahani nauliza kwamba field kwa course ya accounting huwazinafanyika napenda kufahamu ,kazi njema
Asante
Habari Sweya
Unapaswa kuwasilisha barua ya maombi ya mafunzo kwa vitendo kutoka Chuo unachosoma.Endapo nafasi zitapatikana, utajulishwa.
Asante
Nashukuru kwa majibu na maelekezo yote pia nafurahi kupokelewa kwa barua yangu ya field,Natumai kama nafasi zitakuwepo nitajifunza masomo yangu ya vitendo katika taasisi hii ya gesi,nishati na maji ,it is all about my wishes to join this authority for my studies for more experience. Wishes all the best on your duties.