TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Kutoa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni hapo juu kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

 

Visits: 472

3 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Kutoa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

 1. Naomba kufahamu utaratibu wa kupata leseni ya biashara ya kituo Cha mafuta KIJIJINI ikijumuisha gharama husika ya leseni na vingine vinavyohusika.
  Nawasilisha

  1. Ndugu Eliya,
   Kituo cha mafuta kabla ya kujengwa ni lazima upate kibali cha ujenzi wa kituo kutoka EWURA. Kibali hiki huwa hakilipiwi. Aidha, baada ya kupata kibali na kujenga kituo na ukaguzi ukafanyika, utapaswa kuomba leseni EWURA,ambayo gharama ya leseni ni ths laki 5. Yapo mahitaji mengine ya msingi ambayo umetumiwa katika barua pepe yako.
   Karibu

 2. Habari, naomba kufahamu utaratibu wa kujenga kituo cha mafuta vijijini pamoja na gharama zake ( nikipata kipeperushi nitashukuru pia). asante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *