Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya maombi ya leseni ya Mamlaka ya Maji naUsafi wa Mazingira Kyela-Kasumulu , awasilishe kwa maandishi EWURA ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili.
Soma Zaidi:-
Hits: 126