EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano Agosti 4, 2021

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 4 Agosti 2021.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Hits: 2842

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *