TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: EWURA yafungia Vituo 26 kwa Mafuta yasiyo na Vinasaba

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)  imefunga  vituo 26 vya mafuta  vilivyokutwa na mafuta yasiyo na vinasaba ikiwa ni pamoja na kulipisha faini kwa mujibu wa Kanuni.

Soma Zaidi:-Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Visits: 403

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *