TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yatangaza Bei Mpya ya Mafuta kuanzia Jumatano Novemba 3, 2021

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa mwezi Novemba 2021.  Aidha, ifahamike kuwa, bei kikomo za mwezi Oktoba, 2021 zitaendelea kutumika mwezi Novemba 2021; isipokuwa kwa mafuta ya dizeli yaliyopokelewa kupitia bandari ya Dar es Salaam, ambayo bei itapungua kwa shilingi 18 kwa lita. Bila jitihada za Serikali, bei za rejareja za bidhaa za mafuta zingeongezeka maradufu.

Soma Zaidi:- https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/:-

Visits: 5729

One thought on “TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yatangaza Bei Mpya ya Mafuta kuanzia Jumatano Novemba 3, 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *