EWURA inakaribisha maoni kutoka kwa wananchi juu ya maombi ya leseni ya kutoka Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira kwa ajili ya kutoa huduma za majisafi na usafi wa mazingira katika eneo la Busega, Mkoa wa Simiyu.
Soma Zaidi:-
Hits: 359

Tunaomba kupata umeme vijijini maana watu wanaomba huduma hawapatiwi. EWURA iangalie namna nzuri ya kusaidia Watanzania. Itakuuwa haina maana mnapigania kuuza nishati nje ya nchi wakati Watanzania hawapatiwi huduma. EWURA ungekuja na mkakati wa miaka 60 ya uhuru, wa kuwspatia Watanzania wote huduma.
Ndugu Headson,
Tunashukuru kwa maoni.
Serikali inatekeleza mkakati wenye lengo la kuhakikisha kuwa kila eneo linapata huduma ya umeme. Kwa maeneo ambayo mtandao wa Shirika la Umeme halijaweka miundombinu, Serikali imeweka mazingira wezeshi ili wazalishaji na wasambazaji binafsi waweze kutoa huduma.
Asante