Mwito wa Maoni: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa  inatolewa  kwa umma kuhusu maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Hivyo, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni  kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni_Maombi ya Leseni

Visits: 405

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *