Taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli, Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni hapo juu kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili, kupitia anuani tajwa.
Soma zaidi :- Mwito wa Kutoa Maoni
Views: 902
Ndugu Hesney,
Utaratibu wa kujisajili kwenye kanzidata unafanyika moja kwa moja kupitia mtandao. Tafadhali bofya kiungashi hiki https://cqs.ewura.go.tz/ kujisajili.
Karibu