Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na taasisi zilizo chini yake (EWURA, PURA, TANESCO, TPDC, PBPA na REA) inachukua fursa hii kuwakaribisha kushiriki katika Mkutano na Maonesho ya 10 ya Petroli ya Afrika Mashariki (EAPCE’23) yatakayofanyika Jijini Kampala – Uganda kuanzia tarehe 09 hadi 11 Mei 2023.
Soma zaidi :- TANGAZO LA MKUTANO WA EAPCE23[68]
Views: 170