Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli Kuanzia JumatanoTarehe 1 Machi 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Machi 2023.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Hits: 5154

2 thoughts on “Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli Kuanzia JumatanoTarehe 1 Machi 2023

    1. Ndugu Samwel,
      Bei za bidhaa za mafuta za mwezi husika hutolewa kila jumatano ya kwanza ya mwezi. Unaweza kupat bei kwa kutumia simu yako ya mkononi kwa kupiga *152*00#; chagua na 4, chagua 1 na endelea kufuata maelekezo utapata bei ya mafuta popote ulipo. Pili, unaweza kupata kwenye tovuti kwa kubofya kiunganishi https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

      Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *