TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 6 Aprili 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Dodoma Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la Watumia Huduma Zinazodhibitiwa na EWURA (EWURA CCC) na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi:Mwito wa Maoni ya Wadau-DUWASA WSSA

Hits: 115

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *