Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia kuanzia Jumatano, tarehe 3 Mei 2023 saa 6:01 usiku.
Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/
Views: 6294
Hello
Mimi naishi Mkoani Pwani Rufiji Kijijini Cha Chumbi C
Nimeona Tangazo la Mkakati wa Serikali kusambaza GESI BURE Vijijini .Mimi nahitaji hii gesi naombeni mnitumie Fomu .Deadline ni Mei 10,2023 .Naombeni maelekezo TAFADHALI .
Namba yangu ya Simu 0717911671
Ndugu Simoni.
Bila shaka suala hilo linaratibiwa na REA (Wakala ya Nishati Vijijini) na si EWURA, hivyo tutawasilisha suala lako REA ili waweze kuwasiliana nawe.
Karibu
Napataje Fomu ya Maombi ya kupata Gesi BUREEE??
Nipo Kijijini Sanaa
Mkoani Pwani Rufiji Kijijini Chumbi .
Tafadhali naombeni msaada
namba ya Simu 0717911671
Naombeni Bei mpya ya mafutaaa
Ndugu Winfredy,
Tafadhali piga *152*00#; chagua namba 4, endelea kufuata maelekezo utapata bei ya mafuta popote ulipo.
Karibu
Habari
Bei ya mafuta kwa mwezi huu wa June ipoje?
Ndugu John,
Tafadhali piga *152*00#; chagua namba 4, endelea kufuata maelekezo utapata bei ya mafuta popote ulipo.
Karibu
Mbona mafuta sheli nyig azina kuna na nini jamani tuna omba kujua