TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba EWURA imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta. Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku kumi na nne tangu tarehe ya tangazo hili.
Soma Zaidi:-Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni kutoka Jobu Fuime
Hits: 25