Kwa mujibu wa Kifungu cha 8(1)(a) cha Sheria ya Umeme, Sura ya 131, na Kifungu cha 4(1) cha Kanuni za Shughuli za Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme, Tangazo la Serikali Na.287 la mwaka 2019, kwa pamoja zinamtaka mtu yeyote anayezalisha umeme kwa matumizi binafsi kwa kiasi kinachozidi MegaWati moja (1MW) kuwa na leseni inayotolewa na EWURA.
Soma Zaidi:-
- Agizo kwa Viwanda Vyote Vinavyozalisha Umeme
- Order to All Industries Generating Electricity in Tanzania
Views: 104