Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.
Read more;- Mwito wa Kutoa Maoni
Views: 440
Hello, naitwa Naomi Ombija, niliomba kazi kupitia Ewura portal, sasa ni miezi zaidi ya mitano hakuna response yoyote, ni vizuri hata kama mtu hajapass ajulishwe ili kuepuka Kuwa na matarajio ambayo hayapo. Asante
Ndugu Naomi, tafadhali zingatia maelezo yaliyotelewa kwenye tangazo la kazi uliyoomba.
Karibu