Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku.
Soma Zaidi:-Bei Kikomo Kuanzia 5 Julai 2023
Views: 7936
Habali Ewura.
Angalieni kipato Cha Watanzania Na Mienendo Ya Ajira Ilivyo Na Nchi Ilivyo.
(Magazijuto) Yatumike.