Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli, Hivyo, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.
Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni Sekta ya Petroli
Views: 258
daktilogibigibi.PecQA93vbqYW