TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta kutoka Yuso Logistics Company Limited Petrol Station kwenda Munio Petrol Station Limited.
Soma Zaidi:-Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni-Yuso kwenda Munio
Views: 441
daktilogibigibi.a0JikQqvBrAW