Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 6 Septemba 2023 saa 6:01 usiku.
Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/
Hits: 7162