Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 4 Oktoba 2023 saa 6:01 usiku.
Cap Prices wef 4th October 2023 – English
Bei kikomo za mafuta ya petroli kuanzia 4.10.2023
Visits: 7452
Mafuta mbona yanapanda sana jamani
daktilogibigibi.Iw9jYteGSBJN