Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 1 Novemba 2023 saa 6:01 usiku.
Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/
Views: 7243
daktilogibigibi.FROidBwFjqWf