Mwito wa Kutoa Maoni : Maombi ya Leseni kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli.

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma zaidi :- Public Notice Batch 208 – 30th January 2024

Visits: 95

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *