Taarifa kwa Umma : Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo cha Mafuta cha Poly Petroleum Limited

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta kutoka  Poly Petroleum Limited.

Soma zaidi :- Public Notice – Poly (2)

Visits: 155

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *