LOIS INTRODUCTION

LICENCE ORDER INFORMATION SYSTEM (LOIS)

INTRODUCTION

EWURA LOIS is a portal that manages applications for electricity, petroleum and water licences and tariff for electricity and water. Using this Portal, an applicant can apply services issued by EWURA on line.  Moreover, all stakeholders can submit complaint for services regulated by EWURA online. Licenced Services Providers have provision to verify their licence information and receive other regulation information from EWURA through this system.

HOW LOIS WORK

  • The system (Licence and Order Information System) can be access at EWURA website www.ewura.go.tz OR direct at https://lois.ewura.go.tz
  • Applicant is required to registered to use LOIS.
  • Applicant will be required to apply for licence or register complaint. The system will send a message to applicant to acknowledge receipt of the application.
  • Applicant will be able to understand the status of the application through the system.
  • Applicant may be required to submit additional information through the system to EWURA if more clarification is required.
  • Internal process of application will remain the same with improvement to speed up the issue of result.

 

CONCLUSION

The system has been developed by taking into consideration the requirement of EWURA and other stakeholders. You may submit your comment to improve the system through.

Telephone: +255-022 2923513-18;

Fax:  +255-22  2923519

Hot line:  0800 -110030

Email:  support@ewura.go.tz

 

LICENCE ORDER INFORMATION SYSTEM (LOIS)

UTANGULIZI

EWURA LOIS ni mfumo-tovuti unayohusika na maombi ya lisena za Umeme, Mafuta na Majin  pia maombi ya bei za umeme na maji. Kwa kutumia mfumo huu mtu yoyote anaweza kuomba huduma zinazotolewa na EWURA kwa kupitia mtandao. Aidha watumiaji wa huduma zinazodhibitiwa na EWURA wanaweza kuwasilisha malalamiko yao kwa kupitia mfumo huu,

Watoa Huduma waliosajiliwa na EWURA wanaweza kuhakiki taarifa za lisena zao na pia kuweza kupata taarifa za udhibiti kupitia mfumo huu

JINSI LOIS INAVYOFANYA KAZI.

  • Mfumo unapatikana katika tovuti ya EWURA: Mfumo wa taarifa wa leseni na maagizio (Licence and Order Management Information System). Pia unapatikana katika anuani hii https://lois.ewura.go.tz
  • Mteja atatakiwa kujisajili kuweza kutumia mfumo wa LOIS
  • Mteja atatumia fomu ya kuomba leseni au kuwasilisha malalamiko kwenda EWURA. Mteja atapata ujumbe unaeleza kuwa maombi yake yamepokelewa.
  • Mteja ataweza kuona hatua iliyofikiwa katika mchakato wa kushughulikia maombi yake.
  • Ikiwa EWURA itaona kuna haja mteja kuwasilisha taarifa nyingine au kutoa ufanunuzi maagizo hayo yatatumwa moja kwa moja kwa mteja.
  • Mchakato wa ndani utaendelea kama kawaida ukiwa umeboreshe kuongeza ufanisi.
  • Mara maombi yako yakipitisha mteja atapata taarifa kwa kupitia mfumo huu

 

HITIMISHO

Mfumo wa LOIS umeandaliwa kwa kuzingatia mahitaji ya EWURA na wadau. EWURA inapokea maoni kuhusu mfumo huu kupitia anuani zifuatazo.

Simu: +255-022 2923513-18;

 Nukushi:  +255-22  2923519

Simu ya Bure:  0800 -110030

Barua pepe:  support@ewura.go.tz

__________________________________________________________________

Hits: 3327