TAARIFA KWA WAFANYABIASHARA : AGIZO LA KUUZA MAFUTA

EWURA inatoa AGIZO kwa vituo vyote vya mafuta kuhakikisha vinakuwa na mafuta ya kukidhi mahitaji ya maeneo yao ya biashara kulingana na umiliki wa soko wa kituo husika.

Soma zaidi :- Agizo kwa Vituo vya Mafuta

Visits: 520

3 thoughts on “TAARIFA KWA WAFANYABIASHARA : AGIZO LA KUUZA MAFUTA

  1. Habari
    Nashauri agizo la vituo kukosa mafuta lifuatiliwe. MKOA wa Rukwa -Sumbawanga mjini ukienda viyuo vya mafuta wanasema hawana mafuta. Nimekwenda vituo vinne Leo wanasema hawana mafuta.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *