MAWASILIANO
Makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji yapo katika Jiji la Dodoma. EWURA ina ofisi 5 za kanda zilizopo katika Mikoa ya Mwanza, Arusha, Mbeya, Dar es Salaam na Dodoma kama zilivyoainishwa hapa: –
MAKAO MAKUU
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji,
Jengo la EWURA, Kiwanja Na 3,
Kitalu AD, Medeli Magharibi,
S.L.P 2857,
Dodoma.
Simu: +255-26 2329003 – 4;
Faksi: +255-26 232900
Baruapepe: info@ewura.go.tz
Tovuti: www.ewura.go.tz
Namba ya Bure: 0800110030
OFISI ZA KANDA ZA EWURA
Kanda ya Ziwa
Ghorofa ya 4, Jengo la PSSSF,
Barabara ya Kenyatta,
S.L. P 2069, MWANZA
Simu: +255 28 2506071-72
Faksi: +255 28 2506073
Baruapepe: info@ewura.go.tz;
Tovuti: www.ewura.go.tz
_________________________________________
Kanda ya Kaskazini
Ghorofa ya 2, Jengo la PSSSF,
Mkabala na Hoteli ya Kibo Palace,
Eneo la Ushoroba,
Mtaa wa Ingira 16,
S.L.P 1458 ARUSHA
Simu: +255 (0)27 2970277-78
Faksi: +255 (0) 27 2970279
Baruapepe: info@ewura.go.tz;
Tovuti: www.ewura.go.tz
__________________________________________
Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
Ghorofa ya 6, Jengo la NHIF,
Mtaa wa Karume,
S.L.P 2245, MBEYA
Simu: +255 252957328/30
Faksi: +255 252957329
Baruapepe: info@ewura.go.tz;
Tovuti:www.ewura.go.tz
___________________________________________
Kanda ya Mashariki
Ghorofa ya 7, Jengo la PSSSF,
Mkabala na Kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama
S.L.P. 72175,
DAR ES SALAAM
Simu: +255 22 292 3513-8
Faksi: +255 22 292 3519
____________________________________________
Kanda ya Kati
Jengo la EWURA, Ghorofa ya Kwanza,
Kiwanja Na. 3, Kitalu AD, Medeli Magharibi,
S.L.P 2857,
DODOMA
Simu: +255-26 2329002;
Faksi: +255-26 2329005
Baruapepe: info@ewura.go.tz
Tovuti: www.ewura.go.tz
___________________________________________
Views: 4210