Taarifa kwa Umma – Maombi ya leseni za biashara katika sekta ya mafuta ya petroli

Sheria ya Mafuta ya Na. 4 ya 2008 inaipa nguvu Mamlaka kusimamia sekta ya mafuta.
Kifungu cha 7 cha Sheria ya Mafuta ya Na. 4 ya 2008 inawataka wauzaji wote wa mafuta
wawe na leseni zitolewazo na EWURA.

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania,
taarifa kwa umma inatolewa ya kwamba, wafuatao wameomba leseni za biashara katika
sekta ya mafuta ya petroli.
Majina ya waombaji yameambatanishwa; Public Notice – BATCH 58 JAN 2016 – SWAHILI

 

Visits: 276