Mwito wa Kuwasilisha Pingamizi kwa Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni hapo juu kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.Soma Zaidi:Maombi ya Leseni 

Views: 277

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *