TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kutoka Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira ya Igunga

Mnamo tarehe 6 February 2020 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ilipokea maombi kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira ya Igunga (Igunga WSSA) ya kutaka kurekebisha bei za huduma zake za maji safi na usafi wa mazingira kwa mwaka 2020/21 hadi 2022/23.

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 26 Machi 2020 katika Ukumbi wa Sakao uliopo Igunga Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau na wateja wa Mamlaka ya Maji Igunga, na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi;- Mwito wa Maoni ya Wadau, Igunga WSSA.

Visits: 185

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *