TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Nzega

Mnamo tarehe 20 February 2020 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ilipokea maombi kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira ya Nzega (Nzega WSSA) ya kutaka kurekebisha bei za huduma zake za maji safi na usafi wa mazingira kwa mwaka 2020/21 hadi 2022/23. Majedwali namba 1 hadi 3 hapa chini yanaonesha bei na tozo za sasa na bei zinazopendekezwa.

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 26 Machi 2020 katika Ukumbi wa FDC Kitongo uliopo Nzega Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau na wateja wa Mamlaka ya Maji Nzega, na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi;-Mwito-wa-Maoni-ya-Wadau-Nzega-WSSA.

Visits: 262

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *