Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inapenda kuwataarifu wadau wake wote na umma kwa ujumla kuwa, endapo watalazimika kufika katika Ofisi za EWURA, wavae BARAKOA ili kujikinga na kuwakinga watoa huduma dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona.
Soma Zaidi:Uvaaji Barakoa
Views: 196