MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetoa Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira nchini kwa mwaka 2018/19, ikihusisha Mamlaka za maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa 34 na Mamlaka za Wilaya na Miji Midogo 83.
Soma Zaidi: EWURA Yatoa Ripoti Utendaji Mamlaka za Maji Nchini-2018-19
Hits: 468