TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Majina ya Vituo vya Mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na majina ya vituo vya mafuta.  Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi awasilishe kwa  EWURA ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili. Soma Zaidi:-

Kubadili Umiliki wa Leseni na Majina ya Vituo

Transfer of Petroleum Retail Outlets Licences

 

Hits: 277

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *