TANGAZO-Semina ya Mafundi Umeme wa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, Septemba 2020

EWURA inawaalika mafundi umeme wote wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kwenye semina ya siku tatu (3) itakayoanza saa tatu (3) asubuhi, tarehe 30/09/2020 hadi tarehe 02/10/2020 katika ukumbi wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) uliopo Mikocheni eneo la Viwanda.

Soma Zaidi:-Semina kwa Mafundi Umeme

Hits: 387

3 thoughts on “TANGAZO-Semina ya Mafundi Umeme wa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, Septemba 2020

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *