TAARIFA KWA UMMA-Maombi ya Leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi  dhidi ya maombi tajwa haya, awasilishe kwa maandishi EWURA  ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili. Nyaraka za maombi ya leseni zinaweza kuoneshwa kwa mtu yeyote kwa maombi maalum ya maandishi.

Soma Zaidi:-

 

Visits: 163

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *