Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya maombi tajwa haya, awasilishe kwa maandishi EWURA ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili. Nyaraka za maombi ya leseni zinaweza kuoneshwa kwa mtu yeyote kwa maombi maalum ya maandishi.
Soma Zaidi:-
Hits: 131