TANGAZO- Semina ya Mafundi Umeme wa Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga 25-27 Novemba 2020

Fundi umeme mwenye nia ya kuhudhuria anaombwa kuthibitisha kwa ujumbe mfupi (SMS) kwenye namba 0757171723 au kwa kupiga simu +255 27 297 0277

Soma Zaidi:-TANGAZO- Semina Mafundi Umeme-Arusha

 

Visits: 437

10 thoughts on “TANGAZO- Semina ya Mafundi Umeme wa Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga 25-27 Novemba 2020

  1. Ndugu Dickson,
   Vigezo vya kupata leseni ni kuwa na cheti cha elimu ya ufundi, kitambulisho, wasifu na picha yenye kivuli cha bluu pamoja na sh. 10,000/ gahrama ya maombi ya leseni. Aidha, kigezo cha msingi ni kuwa na elimu ya ufundi umeme kwa ngazi mbalimbali kuanzia wiremen.
   Karibu.

  1. Bwana Iddy,
   Gharama ya maombi ni nafuu, ambayo ni tsh 10,000/ tu.
   Gharama nyingine ni za leseni ambazo hulipwa kulingana na daraja la leseni.
   Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu no 0800110030 BURE muda wa kazi

  1. Ndugu Yohana,
   Tanga hatuna Ofisi ila mkoa wa Tanga unahudumiwa na Ofisi ya Arusha. Hata hivyo unaweza kutembelea ofisi ya Dar es Salaam kwa maelezo zaidi.
   Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *