Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.
Soma Zaidi:-
Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni
Views: 561