Bei Mpya za Mafuta Kuanzia terehe 7 Aprili 2021

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 7 Aprili 2021.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Visits: 5218

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *