The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of the electricity, water, petroleum and Natural gas sectors. EWURA has the following vacancies for which suitably qualified Tanzanians are invited to apply.
Read More :- Employment Opportunities
Views: 1269
Habari?
Mimi ni Selesius Lundera ambaye ni mwajiriwa wa Ofisi wa Mkoa fulani hapa Tanzania kwa cheo cha Mhasibu mwenye Certified Public Accountant ((CPA (T)) mwezi Mei, 2020.
Lengo la kukuandikia ni kuomba kama kuna nafasi ya wazi ya kuhamia katika Mamalaka ya EWURA kwa nafasi ya Mhasibu.
Nashukuru kwa ushirikiano wako.
Ndugu Selesius
EWURA huwa hakuna nafasi ya kuhamia bali nafasi hujazwa kwa maombi ya kazi ambayo hutangazwa. Kwa muktadha, fuatilia matangazo ya kazi na endapo una sifa , uombe ili uweze kuingia katika ushindani kwa njia ya usaili.
Karibu
Ahsante kwa kunipa majibu